Jumamosi, 2 Novemba 2013

picha ya mashabiki wa simba wakikimbia baada ya kumalizika kwa mechi yao

Photo: Mashabiki wa Simba wakikimbia kufuatia polisi kupiga mabomu ya machozi jukwaani jana kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam baada ya mechi ya Simba dhidi ya Kagera Sugar iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1, ambapo mashabiki hao wa Simba waling’oa viti na kuvirusha huku wakimlaumu mwamuzi wa mechi hiyo kwamba hakuchezesha kwa haki.Picha na Michael Matemanga.
Mashabiki wa Simba wakikimbia kufuatia polisi kupiga mabomu ya machozi jukwaani juzi kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam baada ya mechi ya Simba dhidi ya Kagera Sugar iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1, ambapo mashabiki hao wa Simba waling’oa viti na kuvirusha huku wakimlaumu mwamuzi wa mechi hiyo kwamba hakuchezesha kwa haki.Picha na Michael Matemanga.
                                                       posted by kingspot.blogspot.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni